Lyrics Search

Nimekupata Yesu Lyrics - Ambassadors of Christ Choir

Viewed 88 times


  • Lyrics Search
  • Lyrics Search
  • Lyrics Search
  • Lyrics Search
Print Ambassadors of Christ Choir Nimekupata Yesu lyrics Print it!


Page format: Left Center Right
Direct link:
BB code:

Lyrics to "Nimekupata Yesu" song by "Ambassadors of Christ Choir"

1.Nime kupata yesu,
nimepata yote,
nimekupata bwana,
sitahitaji tena aah,
wewe, ndiwe hitaji langu,
ngome yangu na mwamba
tegemeo langu katika hali zote.
jaza moyo wangu, upendo nikupende,
u rafiki wa kweli,
nifundishe kupenda aah,
bwana, maana upendo wako,
ndio pekee waweza,
Kunifanya kiumbe kipya nikakufuate.

Pambio (Refrain)
****************
Natamani nitembee katika upendo wa bwana,
upendo ule wa dhati,
upendo husiobagua,
upendo uletao hekima, busara na amani,
upendo wakimbingu
pekee ulio bora. (×2)

2.Wapenzi wa kulia,
wengi ni wadanganyifu,
niwapo katika hali nzuri tuko wote eeh,
lakini katika matatizo,
wote wanikimbia,
wewe nimekupata nitakushikilia.

Pambio (Refrain)
****************

3.Nakukaribisha bwana,
uyatawale maisha,
yetu yakila siku,
tufundishe kupanda aa, mbegu
za upendo wa dhati,
mwisho wa nyakati,
tuweze kuvuna matunda ya ukamilifu.
kamilisha upendo, mungu aliohadaa
Dumisha ndoa zao furaha itawale,
Bwana, pembeni za unyonge na udhaifu,
wao familia iwe mwanga wa mbingu ku.

Pambio(Refrain).
****************

Lyrics Submitted by Timothy M.J.

Enjoy the Nimekupata Yesu Lyrics!!!


Lyrics Search